#Mwanafuzichuokikuu#UDSM#JeshilaPolisi
Mwanafunzi mmoja aitwaye Manawa Samson Horera (22) ambaye ni Mwanafunzi wa mwaka wa pili kitivo cha shahada ya uhasibu katika Chuo Kikuu cha Dar es salaam(UDSM) amefariki baada ya kuruka kutoka ghorofa ya pili, chanzo kinadaiwa ni kukutwa na Wanafunzi wenzake akiwa ameiba laptop.
Ещё видео!