Kenya inasifika ulimwenguni kwa vivutio vya utalii.
Mbuga za wanyamapori, fuo za bahari na utamaduni zinatambuliwa
Sekta ya utalii haswa wa humu nchini inakabiliwa na changamoto
Kuna baadhi ya vivutio ambavyo haviwekwi kwenye ramani
Sekta ya utalii inachangia asilimia 8.8 ya mapato ya nchi
Kero ya wanyamapori imesababisha migogoro mara kwa mara.
Ещё видео!