IBRAHIM CLASS v ISRAEL KAMMWAMBA: Tazama shughuli ilivyomalizika mapema tu raundi ya pili….Ibra Class Mawe akiibuka na ushindi wa TKO baada ya mpinzani wake Israel Kammwamba kutoka Malawi 'kurusha taulo'
Tangaaaaaa....! #KaaKwaKutulia
Na hili ndilo lilikuwa pambano kuu usiku huu, katika Uwanja wa Mkwakwani Tanga katika Usiku wa Vitasa Nyumbani ni Nyumbani.
#KaaKwaKutulia #NyumbaniNiNyumbani #VitasaTanga
Ещё видео!