Leo ikiwa siku ya tatu ya kongamano la walimu wakuu wa shule za msingi,kikao kimechukua mwelekeo tofauti huku walimu hao wakipata fursa ya kuelezea baadhi ya changamoto wanazopitia katika kuongoza shule. Suala ibuka lilikuwa jinsi ya kuwashughulikia watoto wenye ulemavu miongoni mwa changamoto nyengine hasa kwa kuwa shule nyingi za umma zinakosa uwezo wa ufadhili.
Watch KTN Live [ Ссылка ]
Follow us on [ Ссылка ]
Like us on [ Ссылка ]
Ещё видео!