Tufahamu historia ya maimamu wanne (4) , haya ni madhahib manne ya ahlu sunna wal jama'a katika fiq-hi na pia hawakuikhtalifiana katika usul bali waliikhtalifiana katika furuy. Hii ni historia ya Imam Shafi (Part Two). Cameraman Kutoka Al Hijra Video Production Nabil Ally