Tumsifu Yesu Kriso,
Karibu kutazama Perfomances mbalimbali zilizofanyika katika tamasha la kuadhimisha mwaka wa umisionari lililoandaliwa na UKWAKATA jimbo kuu la Dar es Salaam. Tamasha hilo lilifanyika katika viwanja vya msimbazi center tarehe 13 mwezi wa kumi. tamasha hilo lilihusisha kwaya Takribani 16 kutoka pande mbalimbali za jimbo kuu la dar es salaam. kwaya hizo ni kama kwaya ya familia takatifu st joseph cathedra, kwaya ya mtakatifu kizito makuburi, kwaya ya dami takatifu ya yesu tegeta, kwaya ya mtakatifu cesilia mavurunza, kwaya ya mtakatifu stephano kipawa, kwaya ya mtakatifu augustino ukonga, kwaya ya maria goreth mbagala, kwaya ya bikira maria mama wa mungu yombo vituka, kwaya ya bmm kimara na kwaya nyingine nyingi. tafadhali endelea kufuatilia channel yetu kwani tunakuwekea yote hapa.
Ещё видео!