Lugha ya kufundishia shuleni hasa za serikali imebadilika kwenye baadhi ya shule na kuwa ya kingereza. Mabadiliko hayo yamekuja na changamoto na dhana ya matabaka na kufanya baadhi ya shule kuwa juu ya zingine.
Afisa Mtendaji Mkuu Taasisi ya Ubunifu Katika Elimu Tanzania (EIT), Benjamin Nkonya amesema kuwa kama kingereza kinatumika tu shuleni na sio mtaani ni bora kiswahili kitumike kama lugha ya mawasiliano kwenye nyanja zote.
Mhariri | Juliana James , Claud Mshana
Ещё видео!