Kwaya ya Mt. Mikael Malaika Mkuu kutoka Parokia ya Mtakatifu Yakobo Mtume - Mhandu , Mwanza, Jimbo kuu katoliki la Mwanza wanakukaribisha kutazama na kusikiliza wimbo huu unaoitwa MOYO WA YESU.Katika Moyo mtakatifu wa Yesu yamo mapendo yote ya Mungu anayo tupenda nayo sisi wanadamu.Kwahiyo kwetu sisi moyo huu u wazi na ni chemichemi ya neema kwa maisha yetu.
Song Description
Wimbo: MOYO WA YESU
Mtunzi:Gilbert Anthony
Audio:RAJO PRODUCTIONS
Video production:MOZEN PRODUCTIONS
Soloist: Lawrence Kameja
Mawasiliano
Kwaya: +255 686 131 305 | +255 766 656 631
kwayayamtakatifumikaelmalaika@gmail.com
Studios
MOZEN Productions:+255 746 775 116
RAJO Productions :+255 758 988 827
"Onyesha upendo kwa ku "subscribe, share, like and comment" nawe utakua umeshiriki katika utume huu na Mungu atakubariki maradufu"
#MOZEN Production #Moyo Mtakatifu wa Yesu #Kwaya Katoliki
Ещё видео!