Mgombea wa kiti cha urais wa Tanzania kwa tiketi ya ACT-Wazalendo Bernard Membe pamoja na mgombea wa kiti cha urais wa Zanzibar wa chama hicho Seif Sharif Hamad siku ya Jumanne wamewasili kisiwani Pemba kwa ziara ya kujitambulisha. Maelfu ya wafuasi na wakaazi wa kisiwa hicho cha bahari ya Hindi walijitokeza kuwalaki. #Kurunzi
Ещё видео!