AGIZO la RAIS MAGUFULI LATEKELEZWA Mwanza, CCM Wakagua MIRADI Leo..
Kufuatia agizo la mwenyekiti wa ccm Taifa ambaye ni Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania Dkt.John Magufuli la kuwataka viongozi wa CCM katika kila mkoa kutembelea na kukagua ujenzi wa miradi mbalimbali ya maendeleo inayotekelezwa na serikali katika mikoa yao ili kuangalia utekelezaji wa Ilani ya chama hicho ya mwaka 2015-2020.
Viongozi wa CCM mkoa wa Mwanza wametekeleza agizo hilo kwa vitendo ambapo leo Januari 29, wametembelea miradi mbalimbali inayotekelezwa mkoani humo.
UNA HABARI? WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE (+255784888982)
(+255676229628)
HABARI MPYA DAILY:
[ Ссылка ]...
HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA:
[ Ссылка ]...
GLOBAL RADIO TV:
[ Ссылка ]...
EXCLUSIVE INTERVIEW:
[ Ссылка ]...
Subscribe Global TV, Channel itakayokupa Habari na matukio ya kipekee nchini Tanzania
Subscribe [ Ссылка ]
Ещё видео!