Kutokea bungeni Dodoma leo February 7 2017 Wabunge wa kambi rasmi ya upinzani bungeni walitoka nje ya jengo la bunge wakati mkutano ukiendelea kwa madai kwamba Naibu spika Dr. Tulia Ackson amekataa mwongozo wa kujadili tukio la kukamatwa kwa Mbunge wa Singida mashariki Tundu Lissu katika eneo la bunge.
Ещё видео!