KASOME IPO PLAYSTORE TAYARI
Kasome ni maktaba ya video za masomo ya secondary zilizorekodiwa na walimu nguli, wazoefu na wababe kuyafundisha masomo, kwa lengo la kuwaboresha, kuwaimarisha na kuwapa wanafunzi mbinu na uzoefu wa kujibu vyema mitihani yao ili kuhamasisha usomaji na kupandisha ufaulu wa watoto mashuleni na kwa taifa kwa ujumla.
Tumia link hii kupata App [ Ссылка ]
Ещё видео!