Wanachuo Waadventista wa Sabato wa Chuo cha Ufundi Arusha (TUCASA ARUSHA TECHNICAL COLLEGE)wametoa misaada yenye Thamani sh 800,000 kwa Hospitali ya Wilaya ya Monduli na Kituo cha walemavu cha St .Paul 2 Rehabilitation centre wilayani Monduli Mkoani Arusha katika juma la PCM WEEKEND.Zaidi ya Wanachuo 75 wameshiriki zoezi.
Ещё видео!