Find another one lyrics by Sosa the prodigy ft YBW Smith
[Intro]
Anhaa eh enhee, find another one, find Another one
Westley anakuaga na mabeat mazza mazza
World Boss siku zote mi nawakilisha Gaza
Eh aai Mpoa anafanana Malkia Ayela ni Kidosho Itabaki umeaminia
Goshodo inanipandisha hisia, Mpoa ukinitingulia pongi naingia
Mpoa anafanana Malkia, Ayela ni Kidosho Itabaki umeaminia(walayi)
Goshodo inanipandisha hisia, Mpoa ukinitingulia pongi naingia
Mi napenda hio design ananisikisha jegi nisese leo mpoa nikama umejam nipashe
Nikituma meso ashasimp si mchache six tushalink hii nishampin kwake
Lonely uku ju nishageuka asake lonely bila bunda enda kasake
Ai pongi ashanitoka ju sina Packe pongi ashanitoka ju sina Packe
Nikamsho(nikamsho) find another one,
If you can, find another one
Mpoa si ni pepo jini, Juu mpaka chini Ayela kwa kitovu na mapua nampini
Naeza dhani ni dredi amefuga kumbe ni manyoka mpoa ameficha chini ya pin nizi
Ai Mpoa anafanana Malkia Ayela ni Kidosho Itabaki umeaminia
Goshodo inanipandisha hisia, Mpoa ukinitingulia pongi naingia
Mpoa anafanana Malkia Ayela ni Kidosho Itabaki umeaminia(Walai)
Goshodo inanipandisha hisia, Mpoa ukinitingulia pongi naingia
Mpoa anafanana malkia dem amejibeba ndo mi naaminia
Home nitena si ukuje uone place, pongi imenitaja tupatane kwake tena
Find another one nilifika kwake eight namasha zile Bud no face no case
Amepewa bila place Anazimia at the place, come tuwach movie tukitulia kwa Bed
Mpoa anafanana malkia akieza kupatia kuna vitu utalipia
Mpoa anafanana malkia, nishamwaga ndani nikukwama ka mkia
kakidosho wake Best bado tunamkatia najua anakatsia na bado ni malkia
Ayela ni kidosho inabaki umeaminia
Mpoa malkia anataka kuitwa Dear
Mpoa anafanana Malkia, Ayela ni Kidosho Itabaki umeaminia
Goshodo inanipandisha hisia Mpoa ukinitingulia pongi naingia
Mpoa anafanana Malkia, Ayela ni Kidosho Itabaki umeaminia(Walayi)
Goshodo inanipandisha hisia Mpoa ukinitingulia pongi naingia
Mpoa anafanana Malkia, Ayela ni Kidosho Itabaki umeaminia
Tags
Sosa the Prodigy new song
Ybw smith new song
Sosa the prodigy ft Ybw smith
Find another one by Sosa the prodigy
Sosa the prodigy find another one lyrics
Ybw Smith find another one lyrics
#SosatheProdigy #YbwSmith #FindAnotherOne #music #lyrics #kenya #Tanzania #Eastafrica
Ещё видео!