Mkandarasi wa Mradi wa maji wa Iyula uliopo Wilaya ya Mbozi amezuiwa kutoka Nje ya Mkoa wa Songwe na Mkuu wa Mkoa Brig. Jen. Nicodemus Mwangela ametoa zuio hilo leo
huku akiwekwa chini ya uangalizi wa jeshi la Polisi mpaka atakapo kamilisha vifaa na wataalamu watakaomalizia Mradi huo ni
mara baada ya kutembelea Mradi wa maji wa Iyula ambao ulitarajiwa kukamilika tangu mwaka 2017 huku ukiwa na thamani ya shilingi bilioni tano
#RcSongwe #Mkandarasi
Ещё видео!