Miaka mitatu iliyopita, mwandishi wa BBC Africa Eye Nancy Kacungira aliripoti kuhusu masaibu ya wafanyakazi wa nyumbani nchini Kenya katika Filamu iliyojulikana kama ‘housegirls’, ikisimulia maisha yao magumu na kuonyesha jinsi kuajiriwa kama mfanyakazi wa nyumbani kunaweza kusababisha kuteswa na hata kunyanyaswa.
Sasa Africa Eye inarudi tena na kumtafuta mmoja wao, Mercy Mwake, ili kujua maisha yake yamebadilikaje na iwapo ndoto zake zilitimia.
#bbcsawahili #africaeye #kenya
Ещё видео!