Wizara ya Maliasili na Utalii imesema ushiriki wa mwanamke katika sekta ya utalii umekuwa na mchango mkubwa katika maendeleo ya sekta hiyo ikiwemo ongezeko la wageni.Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Prof. Eliamani Sedoyeka amepongeza uwepo wa Jukwaa la Wanawake katika Sekta ya utalii lililowakutanisha wanawake wa kada mbalimbali jijini Dar es Salaam kujadiliana kuhusu maendeleo ya sekta hiyo sambamba na ushiriki wao.
#AzamTVUpdates #AzamNews #UtaliiTanzania #WanawakeNaUtalii
Ещё видео!