Kuanzisha biashara ya gas ya kupikia, ni muendelezo wa video zinazo tayarishwa na Tan Business Channel.
Moja kati ya biashara ambayo unaweza kujiajiri mwenyewe ni ya kuuza gas ya kupikia
Sasa hivi kuna mahitaji makubwa ya gas ya kupikia katika maeneo mbali mbali hapa Tanzania
Uwepo wa mahitaji ya gas sehemu mbali mbali ni fursa kwa mjasiriamali kuanzisha biashara ya gas ya kupikia
Hivyo kama unataka kuanzisha biashara ya gas ya kupikia inabidi ufuate taratibu zinazo kubalika za kuanzisha biashara ya gas ya kupikia
Video hii inaeleza taratibu za kutekeleza iwapo unataka kuanzisha biashara ya gas ya kupikia Tunakuomba subscribe ili usipitwe na video zetu zinazo tolewa kila siku
1. Soma eBooks za Ujasiriamali za Tan Business Channel: Wasiliana nasi kupitia Whatsapp 0716 682 439
2. Tan Business Online School: [ Ссылка ]
3. Pata ushauri kupitia WhatsApp 255 716 682439
4. Pata habari zaidi kupitia website yetu: www.tanbusiness.co.tz
5. Mitandao yetu ya kijamii:
Facebook: [ Ссылка ]
Instagram: [ Ссылка ]
YouTube: [ Ссылка ]
#jifunzeujasiriamali #vitabuvyaujasiriamali #alimwmabola #tuongeebiashara #tujifunzeujasiriamali #mizungukoyaujasiriamali
Ещё видео!