Available on all Platforms: [ Ссылка ]
Download or listen online: [ Ссылка ]
Performers: Kwaya Kuu Mt. Cesilia Arusha, Tanzania
Producer: Verony Productions Ltd.
Composer: Gabriel Mkude
Copyright ©Verony Productions Ltd.
Tulieni ndugu zangu niwaambie siri moja
Mkimtumainia Mungu mtayashinda yote
Japo magumu ni mengi mtakayokutana nayo
Mkimtumainia Mungu mtayashinda yote
{Mtavuka vikwazo vya shetani na magumu yote (nasema)
Mbinu zake shetani na hila hazitawaangusha (nasema)
Mkimtumainia Mungu mtayashinda yote } *2
Kwa nguvu za Mwenyezi nasema hamtaaibika
Mtautimiza huu wito wenu kikamilifu
Mungu Baba yuko nyuma yenu anawapigania
Atawafukuza na maadui wenye hila mbaya.
Wosia ninawapa ndugu muwe na uvumilivu
Kwani haya ya dunia si kitu wala si lolote .
Ещё видео!