Waziri wa elimu Profesa George Magoha ameamuru wakurugenzi wa elimu kote nchini kukagua shule zote za kibinafsi ili kuthathmini iwapo ziko tayari kwa masomo ya gredi ya 7 kuanzia januari mwaka ujao. Akizugumza katika kongamano la wakuu wa shule za kibinafsi na kisha kuzuru baadhi ya shule magoha amewaonya wakurugenzi hao dhidi ya ufisadi wanapoendesha zoezi hilo.
Ещё видео!