Mkazi wa Njombe mjini anayefahamika kwa jina la Medard Mbiki mwenye umri wa miaka 28 anadaiwa kumbaka mtoto wa miaka minane ambaye ni mtoto wake wa kambo huku sababu za kufanya hivyo zikuhusishwa na imani za kishirikina ikihusishwa na maagizo ya mganga wa jadi aliyemtaka kutekeleza tukio hilo kwa madai ya kuondoa nuksi kwenye biashara zake ikiwemo ya uuzaji wa mkaa.
Ещё видео!