@mbokadoba is the original singer and writer of this song
#kenyantrends #mbogigenje #mbokadoba #kenyanyoutuber #gengetonebeats
mboka
mboka doba
stoner akosi na ako juu ya dimanga
shika morio kuna vile tutakatsiana
ni headbad nilimkataa akanipoint na panga
nikona yangu naona tukikatiana
staki ngori mob staki ho staki kasiraw
sikuji ka si doh ka si ndom inafanya na float
staki ngori mob staki ho staki kasiraw
sikuji ka si doh ka si ndom inafanya na float
sikua na thiang' nkaingia chinje
pake pia mabob hiezi kafanya nichange
one dead never me najua kuishi na wasee
sanse na mpace atadhani ni senke
denge chinja chinja maliza ulele
sembe finya finya ndio ni squeeze mwere
tenje screen clear lazima itoshee
mwere siezi achana na yeye aende
niko sober naskia lakini si poa
ntaskia poa nikianza kukohoa
inakubalika wakituona wanajiondoa
tudum cheki mbogi ishaanza kutoa
si ni mabuda kwa biz kababa tunawanyoa
luku diriba tisho ya madoadoa
ni mpoa akinikiss ndo na poa
ka nimejam chali yake alinithigitha meno ndo namngoa
rive imepasuka cheki inaoverflow
ka ni videvu narusha ka tyso
Mali ni chwani lakini kata hii soo
si ni wale tulichora makwela kwa blackboard
siezi medi baze na kuna morio asidi
we ni fala umejipimp bado we ni bibi
nikona bling tatu moja ndo ikona resiti
cheki chuom ingia chuom karibu ofisi
stoner akosi na ako juu ya dimanga
shika morio kuna vile tutakatsiana
ni headbad nilimkataa akanipoint na panga
nikona yangu naona tukikatiana
staki ngori mob staki ho staki kasiraw
sikuji ka si doh ka si ndom inafanya na float
staki ngori mob staki ho staki kasiraw
sikuji ka si doh ka si ndom inafanya na float
short call serious biz long call hua ni mafi
pita mandazi mandazi upate chai
niusmile na medi na mtiaji
sometimes siezi furahi na bado sijakufry my guy
step mosmos mosmos boss unaeza kosa koo
naeza kuona kesho
nikiF kina choke bila filtration
kesho ile thiang' naingia soko
imerust akuna kushonwa ni tetanus
bei ni mweru lakini asset ni secondhand
mabunde tumejibebea mapepeta
staki ngori mob siezi force ka mambo ka hazirun
stoner akosi na ako juu ya dimanga
shika morio kuna vile tutakatsiana
ni headbad nilimkataa akanipoint na panga
nikona yangu naona tukikatiana
staki ngori mob staki ho staki kasiraw
sikuji ka si doh ka si ndom inafanya na float
staki ngori mob staki ho staki kasiraw
sikuji ka si doh ka si ndom inafanya na float
Ещё видео!