Zimekuwa ni wiki chache zenye mishemishe nyingi tangu nilipojiunga na Young Africans Sports Club nikitokea Simba SC. Kwa mara ya kwanza nimeamua kuzungumzia usajili wangu na jinsi ambavyo nimepokelewa kwenye klabu yangu mpya huku nikiwa na matarajio ya kufanya vizuri kwa kushirikiana na wachezaji niliowakuta.
................................................................................
It has been a hectic few weeks since I switched sides. I have decided to speak for the very first time about how the transfer went, the welcoming at Young Africans SC, and my expectations ahead of this new season with my new teammates.
Ещё видео!