Rais Uhuru Kenyatta ameelezea imani yake kwa shirika la kitaifa la ujasusi akisema kuwa visa vingi vya ugaidi viliweza kuzimwa na kuwa shirika hilo linafanya kila liwezali kudhibiti hali. Haya yakijiri masuala mengi yanaendelea kuibuliwa kuwa idadi ya watekaji nyara ya kati ya 10 -15 itawezaje kuingia nchini bila ya kutambuliwa.
Ещё видео!