Rais William Ruto ameshikilia kwamba mpango wa serikali wa kutoa chanjo kwa zaidi ya mifugo milioni 70 kuanzia januari mwakani utaendelea. Hii ni licha ya kuendelea kwa pingamizi dhdi ya chanjo hiyo mpya kutoka kwa wafugaji na hata Madaktari wa mifugo ambao ni wa punde zaidi kupinga. Rais akizungumza kaunti ya Baringo amewataka wanaoingiza siasa kwenye mchakato huo kukoma
Ещё видео!