Ukubwa wa Vipaji vya Wsanii, Ufundi wa Band na ujuzi wa matumizi wa vyombo, unyama wa stage na mvuto wa lights litaku-verify kama mmoja kati ya waliowahi kushudia burudani yenye hadhi ya kizazi kijacho! 🙌🏽 Ikaribie Nelson Mandela Stadium Jioni ya leo.
Clouds Digital Ipo Mubashara Kutokea Sumbawanga
#fiesta2022 #wekamaneno
Ещё видео!