Gesi ya kutoa machozi na magurudumu yaliyoungua yakitoa moshi mweusi yametanda katika baadhi ya mitaa jijini Nairobi, huku waandamanaji wakikabiliana vikali na maafisa wa usalama. Hili linajiri baada ya kinara wa Azimio chama cha upinzani Raila Odinga kuitisha maandamano.
#mkuuwapolisi #kenya #upinzani #maandamanoharamu #kodi #serikali #williamruto #railaodinga #voa #voaswahili #dunianileo
- - - - -
#VOASwahili
Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
Ещё видео!