VIKOSI VYA JESHI LA CONGO NA WAASI WA M23 WATAKIWA KUWEKA SILAHA CHINI
Mchakato wa Nairobi nchini Kenya wa kurejesha amani huko Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) umeanza kwa awamu ya tatu.
Nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) wanakutana jijini Nairobi kwa wiki nzima kwa ajili kutatua mgogoro wa Mashariki mwa Kongo.
Mjumbe Maalum wa EAC ambaye ni Rais Mstaafu wa Kenya, Uhuru Kenyatta amehimiza vikosi vya Jeshi la DRC na waasi wa M23 kuweka silaha chini ili kuzuia maafa zaidi
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: [ Ссылка ]
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:[ Ссылка ]
⚫️ iOS:[ Ссылка ]
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: [ Ссылка ]
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 657 693 210), ( +255 713 750910)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: [ Ссылка ]
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: [ Ссылка ]
⚫️ GLOBAL RADIO TV: [ Ссылка ]
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: [ Ссылка ]
⚫️ Subscribe Global TV [ Ссылка ]
Ещё видео!