Oscar Richard aliingia kwa namna ya kipekee akiwa na wapambe wake waliokuwa kwenye mavazi ya 'wafungwa' kabla ya kuanza kwa shughuli ya upimaji uzito na 'face off.'
Kwani, nyie hamuogopi? 😎
Kimbembe ni kesho Juni 29, LIVE #AzamSports3HD kuanzia saa 1:00 usiku, pambano kuu likiwa ni Nassib Ramadhan vs Juma Choki.
(✍️ @abuuyusuftz)
#DarBoxingDerby #NyieHamuogopi #Vitasa #UsikuWaVitasa #NassibRamadhan #JumaChoki
Ещё видео!