KANISA SIYO KICHAKA CHA KUFICHA UOVU, TAFAKARI NDUGU YANGU...YAFIKICHAYO MACHONI IMANI HUYAONA TAFAKARI NDUGU YANGU. HAKIKA MUNGU ANAONA HATA YASIYOONEKANA TUTENDE YALO MEMA.
Ni wimbo mzuri Sana wenye tafakari ya kina ikiwa Ni mwendelezo wa nyimbo nzuri za utunzi uliobobea wa Mwalimu Benedict (Ben) Nturama.
#kanisakatoliki
#jugomedia
#thegalaxy
Nakusihi Sana subscribe @NkomokomoMedia ili upate mfululizo mzuri wa kukutafakarisha kwa nyimbo na mziki Mtakatifu.
Ещё видео!