Waziri Mkuu Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa alifanya kikao na viongozi wa juu wa Wizara ya Habari inayoongozwa na Waziri Mwakyembe kuhusu mifumo ya wasanii kulipwa kutokana na kazi zao za muziki.
Mhe Majaliwa alihoji wasanii wa nje wana mifumo gani ambayo inawanufaisha wasanii wao na muziki wao hata pale inapotokea wamefariki dunia basi ndugu zao wanaendelea kunufaika.
Ещё видео!