Sheria ya Ukuaji na Fursa Afrika (AGOA) ni mkataba wa kibiashara unaoruhusu nchi za Afrika zilizotimiza vigezo kuuza nje baadhi ya mazao yao Marekani bila kulipa kodi. Inashughulikia zaidi ya bidhaa 1,700 kuanzia magari yaliyoundwa nchini Afrika Kusini hadi maua ya Kenya na hata jeans. Katika vidio hii ya #kurunzi Hawa Bihoga anaufafanua mpango wa AGOA.
Ещё видео!