#dodomafmradio #kapukubwa #ipokwaajiliyako
kufuatia kuongezeka kwa idadi ya watu katika jiji la Dodoma kumesababisha wawekezaji kupata fursa ya kuwekeza katika biashara mbalimbali.
Bw salim Abdala ni mwekezaji kutoka jijini Dar-es-Salaam ambaye amekuja kuwekeza katika biashara ya mapambo na urembo wa nyumbani hapa anaeleza sababu iliyomsukuma kuja kuwekeza katika jiji la Dodoma.
WATCH DODOMA TV📺
STAR TIMES - 113 || DODOMA CABLE 102 || MANENO CABLE - 18
Copyright © 2022 Dodoma Media Group. All Rights Reserved.
Ещё видео!