Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega amesema serikali itaendelea kushirikiana na shirika la kimataifa la Heifer International katika nyanja ya kidijiti kwa kuwapatia mitamba ya ng'ombe ili kuwezesha ufugaji wa kisasa utakaosaidia nchi kujitosheleza katika uzalishaji wa maziwa hatua ambayo itachochea nchi kupata fedha za kigeni kutokana na ziada itakayokuwa ikizalishwa.
Ещё видео!