ISHARA 7 ZINAZOONYESHA ROHO MTAKATIFU YUMO NDANI YAKO - Innocent Morris
Je, unajiuliza kama Roho Mtakatifu yumo ndani yako? Katika video hii, nitakueleza ishara 7 muhimu zinazoonyesha uwepo wa Roho Mtakatifu ndani ya maisha ya Mkristo. Ishara hizi zitasaidia kujua jinsi Mungu anavyofanya kazi ndani yako kwa njia ya Roho Mtakatifu.
Roho Mtakatifu anaweza kutenda kazi ndani yetu kwa njia nyingi, lakini kuna dalili maalum ambazo zinaweza kuthibitisha uwepo Wake. Tazama hadi mwisho ili upate kuelewa kwa undani na kujenga uhusiano wa karibu zaidi na Mungu.
Usisahau ku-like, ku-share, na ku-subscribe YouTube Channel yetu ya Holy Spirit Connect kwa ajili ya mafundisho zaidi! Mungu akubariki! 🙏
Mambo muhimu utayojifunza:
1. Ishara za uwepo wa Roho Mtakatifu
2. Jinsi ya kuimarisha uhusiano wako na Roho Mtakatifu
3. Maandiko yanayothibitisha ishara hizi
Ubarikiwe sana.
Innocent Morris
+255652796450 (WhatsApp)
Instagram Page: holyspiritconnect
Facebook Page: Holy Spirit Connect
Tiktok: hscworship
Contact: +255652796450 (WhatsApp)
Instagram Link:
[ Ссылка ]
Facebook Link:
[ Ссылка ]
YouTube Link:
[ Ссылка ]
Tiktok Link:
[ Ссылка ]
#holyspiritconnect #innocentmorris #RohoMtakatifu #IsharaZaRohoMtakatifu #MafundishoYaBiblia #UhusianoNaMungu
Ещё видео!