Mgombea ubunge Kupitia chama cha Mapinduzi,Jimbo la Same Magharibi, Dk David Mathayo ametaja vipaumbele vitano ambavyo atavitekeleza, endapo atachaguliwa kuwa mbunge
Ametaja vipaumbele hivyo Septemba 2, 2020, wakati wa uzinduzi wa kampeni katika jimbo hilo, uliofanyika katika Kata ya Hedaru, ambapo amesema, yapo maendeleo ambayo yamepatikana katika kipindi cha miaka mitano.
Ещё видео!