Maandalizi yamekamilika Kasarani ambapo sherehe za Jamuhuri zitaandaliwa hapo kesho