Wanabiashara wawili washukiwa wa ulanguzi wa mihadarati mjini Bungoma wametiwa mbaroni. Jacinta Nkata na Samuel Barasa wako kizuizini katika kituo cha polisi cha Bungoma baada msako wa polisi kuwapata na kilo 50 za bangi na dawa nyingine za kulevya. Haya yanajiri baada ya wakazi kuteta kuhusu biashara za dawa za kulevya na kudorora kwa hali ya usalama.
Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya
Ещё видео!