Je uko kwenye mahusiano na ungetamani kuona mapenzi zaidi? Unakiu ya kubadilisha namna mnavyopendana na hujui nini ufanye? Nakupa maneno 6 ambayo ukiyasema mara kwa mara kwa mpenzi wako yatabadili upepo wa mahusiano yenu. Nifuatilie. #DrChrisMauki#UpendweZaidi#MusicVideo