Uongozi kutoka Bodi ya Nyama Tanzania (𝗧𝗠𝗕) Umewasili katika kijiji cha Nguruwe kutembelea mradi wa Ufugaji Nguruwe eneo la Zamahero Jijijini Dodoma.
Licha ya kuridhika na uwekezaji unaoendelea Viongozi wa bodi wamemshauri mwekezaji kuongeza ulinzi hususani udhibiti wa magonjwa ya nguruwe.
sambamba na hilo wamewashauri wawekezaji wanaowekeza pesa katika mradi huo kufika na katika eneo la uwekezaji ili kujiridhisha na ufugaji unaoendelea katika eneo hilo.
#Kijijichanguruwe.
@tsmedia.
Ещё видео!