Hatimaye aliyekuwa mwanasiasa mashuhuri Mark Too amezikwa nyumbani kwake kapseret katika kaunti ya Uasin Gishi, katika mazishi yaliyotanda huzuni kufuatia kifo cha mwanasiasa huyo.
Rais Uhuru Kenyatta, naibu wake William Ruto na kiongozi wa kanu gideon moi ni miongoni mwa viongozi waliofika kuomboleza na familia ya Mark Too.
Na kama anavyotuarifu mwanahabari wetu Steven Letoo kutoka Eldoret, siasa za kupimana nguvu kati ya naibu rais na seneta wa Baringo, gideon moi hazikuweza kuepukika.
Citizen TV is Kenya's leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered.
This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world.
Follow us:
[ Ссылка ]
[ Ссылка ]
[ Ссылка ]
[ Ссылка ]
[ Ссылка ]
Ещё видео!