SIFA KWA MUNGU ni wimbo ambao unatualika sote kwamba aliye juu sana na mwenye ukamilifu ndiye mtalawala wetu sote na ndiye anastahili kuabudiwa.
Tukumbuke kuwa tumeumbwa kwa sura na mfano wake ili TUMJUE TUMPENDE,TUMTUMIKIE NA MWISHO TUPATE KUFIKA KWAKE MBINGUNI.
#gospelmusic #music #amani #choir #love #kenya #motivation #kwayakatoliki #music
Waimbaji :KWAYA YA KRISTU MFALME NGARENARO ARUSHA
Mtunzi:A.O.MUGETA
kinanda:BARAKA T. MASHIBE
Audio :HOLY TRINITY STUDIOS
VIDEO:IRIS EMPIRE
Ещё видео!