#VEMA #Sauti_Nyikani_Kwaya #Gospel
Director By KING SOLOKO
'I was young and now I am old. Yet I have never seen the righteous forsaken or their children bagging for bread'.( Psalm 37:25)
JOHN MSAMBYA contact:
YouTube Channel:[ Ссылка ]
Facebook [ Ссылка ]
YouTube:[ Ссылка ]
Snapchat: [ Ссылка ]
Instagram:[ Ссылка ]
Audiomack: [ Ссылка ]
Phone number:+16025989476
Email: lwangomsambya715@gmail.com
Tumeumbwa na Mungu kwa kusudi la kumtukuza,kumpa sifa zote na kumshujudu katika maisha yetu yote.Ivyo basi sisi tu mali yake na tunapaswa kunyenyekea katika mkono wake.
Hatutakiwi kuwa na ujanja wa kutokumsifu Mungu maana yeye ndiye Mungu mmoja tuliye naye.Mungu wetu ni Mungu mwenye wivu,tena ni Mungu wa wote wenye mwili,yeye ni yule jana leo na hata milele.Halinganishwi na chochote hapa chini ya jua,hivyo tuna kila sababu ya kumsujudu huyu Mungu wetu.
Mungu akubariki na kukubadilisha Maisha yako ya kiroho na kimwili unapoendelea kuangalia wimbo huu.
Support Mziki mzuri toka kwa SAUTI NYIKANI KWAYA toka NYARUGUSU CAMP TZ
Ещё видео!