Huenda matumaini ya kusoma elimu ya juu yakarejea kwa baadhi ya wanafunzi walioshindwa kujisajili katika vyuo walivyodahiliwa, mara baada ya Serikali kuonesha nia ya kutaka kugharamia masomo yao kupitia mikopo ya elimu ya juu.
Wanafunzi hao wametakiwa kuendelea na taratibu za usajili katika vyuo walivyochaguliwa kwani Serikali inaandaa utaratibu wa kuwapa mikopo hiyo.
Kwa habari zaidi:
Soma: [ Ссылка ]
Twitter: [ Ссылка ]
Facebook: [ Ссылка ]
Subscribe kwa makala zaidi za kina na kiuchambuzi @Nukta TV
Ещё видео!