TUKIO KUBWA ATAKALOFANYA RAIS SAMIA MARA, MWENYEKITI wa CCM Aelezea MAANDALIZI YALIPOFIKIA..
Kuelekea kuadhimisha miaka 45 ya chama cha mapinduzi (CCM) mwaka huu maadhimisho hayo yatafanyika kitaifa mkoani Mara ambapo mgeni rasmi katika sherehe hizo anatarajiwa kuwa Rais Samia Suluhu Hassan.
Mwenyekiti wa CCM, mkoa wa Mara, Samweli Kiboye, amesema wamejipanga vizuri kupokea wageni wote watakaohudhuria sherehe hizo huku akiwakaribisha vyama vingine vya siasa kuhudhuria maadhimisho hayo na kujifunza mambo mazuri kutoka kwao.
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: [ Ссылка ]
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:[ Ссылка ]
⚫️ iOS:[ Ссылка ]
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: [ Ссылка ]
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: [ Ссылка ]
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: [ Ссылка ]
⚫️ GLOBAL RADIO TV: [ Ссылка ]
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: [ Ссылка ]
⚫️ Subscribe Global TV [ Ссылка ]
Ещё видео!