Kufuatia kuwepo kwa taharuki ya vitendo vya utekaji na kuuwawa kwa watoto iliyoshamiri kwa takribani wiki mbili katika Mkoa Njombe, Jeshi la Polisi limeanza kuchukua hatua kwa kuwatia nguvuni watuhumiwa wawili wanaodaiwa kuhusika pamoja na kuanza kwa ukaguzi wa leseni za waganga wa jadi ili kuwabaini wanaojihusisha na vitendo hivyo.
Ещё видео!