Kambi Rasmi Upinzani Bungeni Wamvaa Spika Ndugai Mzima Mzima
KAMBI rasmi ya Upinzani Bungeni imemtaka Spika wa Bunge Job Ndugai kutengua uamuzi wake wa kusitisha kufanya kazi na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG).
Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini hapa akiwa ameambatana na wabunge wa upinzani, Msemaji wa kambi hiyo, John Mnyika amesema kama Spika hatatengua uamuzi wake watatumia kila njia za kibunge ikiwemo Mbunge kuwasilisha hoja ya kutokuwa na imani na Spika.
#SPIKAVsCAG
Watch More Videos here: [ Ссылка ] Watch More Videos here: [ Ссылка ] Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram:
www.instagram.com/globalpublishers Twitter www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: [ Ссылка ] Install Global App: iOS: [ Ссылка ] USIKUBALI KUPITWA NA HII, BONYEZA LINK [ Ссылка ].
Ещё видео!