MUNGU ametubariki na vitu vyote lakini shetani amekuwa akitufanya tuishi maisha ya chini na tukifikiri kwamba umasikini ndio utakatifu.
MUNGU ameweka vitu vikubwa sana ndani yetu na siku zote watu walio na vitu vikubwa huwa hawawezi kutulia, hivyo vitu vinachemka ndani yao.
#pastorsunbellakyando #arusha
UNAWEZA WASILIANA NASI AU KUTUMA SADAKA YAKO KWA NAMBA HII : 0657 173 322
Unaweza kutufuatilia katika mitandao yetu ya kijamii
Like our Facebook: [ Ссылка ]...
Follow our Instagram: [ Ссылка ]...
Subscribe our YouTube: [ Ссылка ]...
Ещё видео!