Shinikizo la juu la damu mwilini limeorodheshwa kama chanzo kikuu cha vifo vya ghafla humu nchini huku asilimia kubwa ya watu wakiwa hawatambui kama wana tatizo hili. Huku ulimwengu ukijiandaa kuadhimisha siku ya kutoa hamasisho kuhusu ugonjwa huo mwanahamisi hamadi alipata fursa ya kuzungumza na dkt Munyua kariuki wa kituo cha matitabu cha equity afia Kangemi na kutuandalia yafuatayo kuhusu tatizo hilo ambalo sasa pia linaonekana kuwaathiri watu wenye umri mdogo.
Ещё видео!