Mke wa Rais wa Tanzania Mama Janeth Magufuli ameruhusiwa kutoka hospitali ya taifa ya nchi hiyo Muhimbili alipokuwa amelazwa tangu siku ya jumatano… hili ni tukio linalowashangaza wengi kwani haijazoeleka kwa mtu mashuhuri kama mke wa rais kupata matibabu katika hospitali ya umma
SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: [ Ссылка ]
Follow us on Twitter: [ Ссылка ]
Like us on Facebook: [ Ссылка ]
For more great content go to [ Ссылка ] and download our apps:
[ Ссылка ]
KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.
Ещё видео!